jinsi ya kujikinga,dalili za ukimwi pamoja na visababishi vya gonjwa hili
zifuatazo ni njia za kujikinga na ukimwi
- tujiepushe kuongezwa damu ambayo haijapimwa na wataalam
- tusifanye mapenzi bila kutumia kinga
- tusichangie vitu vyenye ncha kali.
zifuatazo ni dalili za ukimwi
- kukosa hamu ya kula
- mwili kudhoofika
- nywele kunyonyoka
- mwili kushambuliwa na magonjwa mbalimbali
- kukonda
- kuharisha mara 62 kwa wiki
- kutapika
vitu vinavyosababisha ukimwi
- kuchangia vifaa vyenye ncha kali
- kudungwa sindano za mitaani
- kuongezwa damu ya muathirika
- kufanya mapenzi bila kutumia kinga
No comments:
Post a Comment